Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Pauline Gekul (kulia) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili katika Ofisi za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Barabara ya Nyerere akiwa katika ziara ya kikazi kwa
lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai
23 jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idhaa ya TBC Taifa, Shida Massamba kulia
akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Pauline Gekul (wa pili toka kushoto) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika
ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na
shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara
ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na wa pili toka kulia ni
Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC), Aisha
Dachi na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC), Dkt. Ayoub Rioba (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Pauline Gekul wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi
kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana
Julai 23 jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Pauline Gekul (katikati) akipiga ngoma wakati akiwa katika ziara ya
kikazi katika Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali
zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, toka kulia ni
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na
Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika hilo Aisha Dachi na toka kushoto ni
Mkurugenzi wa Masoko wa shirika hilo Bi. Dafroza Kimbori na Mkurugenzi Mkuu wa
shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.
Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC), Aisha Dachi (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Pauline Gekul (katikati) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara
ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika
hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika
hilo Dkt. Ayoub Rioba.
Mhariri wa vipindi vya luninga toka Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC1), Anna Mwasyoke (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Pauline Gekul (kulia) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya
kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo
jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo
Dkt. Ayoub Rioba.
Meneja wa Idara ya Ufundi toka Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC), Mhandisi Constance Muhindi (kulia) akifafanua
akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) wakati Naibu
Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli
mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam,
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC), Dkt. Ayoub Rioba akifafanua jambo
kwa wajumbe wa Menejimenti ya Shirika la Taifa la Utangazaji (hawapo pichani)
wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul
(kushoto) alipotembelea shirika hilo kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali
zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kulia ni
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa
Serikali, Gerson Msigwa akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Shirika
la Taifa la Utangazaji (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) alipotembelea shirika hilo
kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana
Julai 23 jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt.
Ayoub Rioba.
0 Comments